0
Seneta Paul Njoroge wa Kenya jana jioni February 8 2017 amekamatwa na Polisi baada ya kufyetua risasi hewani kwenye mabishano na Boss wa VIVO Energy Polycarp Igathe juu ya umiliki wa Petrol station iliyopo Karai kwenye barabara kuu ya Nairobi-Naivasha.
Hii video hapa chini ina maelezo kupitia NTV Kenya

Post a Comment

 
Top