0
Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Avram Grant ametangaza kujiuzulu kazi ya ukocha katika timu hiyo huku zikiwa zimebaki siku 27 mkataba wake wa miaka miwili kumalizika katika timu hiyo.

Post a Comment

 
Top