Jina la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
sasa hivi linatajwa sana kwenye headlines za sakata la dawa za kulevya
na tayari akiwa amefanya awamu ya pili ya kutaja orodha ya Watu 65
wanaotuhumiwa kwenye sakata hilo.
Pamoja na hayo kuendelea Paul Makonda amepost video kwenye Instagram page yake akisoma mistari ya Biblia >>> “Usiogope
Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna
wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana“
“Wimbo
unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya
Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari
anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma
kutaka jambo litakua“
“Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa”

Post a Comment