Mkutano wa sita wa
bunge umeahirishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo baada ya kutoa
hoja hiyo Spika wa Bunge Job Ndugai alisimama kwa dakika kadhaa.
Katika kusimama kwake Spika Job Ndugai
aliwataka Wabunge kusamehe makosa yote yaliyojitokeza katika kipindi
chote cha Bunge kwenye ishu ya Wabunge kukamatwa na Polisi.

Post a Comment