Klabu ya wekundu wa msimbazi, Simba
SC leo wamelipiza kisasi kwa wajelajela wa jijini Mbeya,Tanzania Prisons katika
mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga mabao 3 -0, mabao yaliyo fungwa
na Luizio, Ajib na Mavugo, mchezo ulipigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salam.
Mchezo wa kwanza simba
wa lifungwa na Tanzania Prisons mabao 2-1 mchezo ulichezwa mjini mbeya.

Post a Comment